Mchezaji wa kriketi wa Australia Phillip Hughes amefariki dunia katika hospitali ya mjini Sydney siku mbili baada ya
kupigwa na mpira wakati wa mchezo.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 alipigwa na mpira juu ya kichwa na mchezaji Sean Abbott wakati timu yake ya Australia Kusini ikicheza mchezo dhidi ya New South Wales.
The Australian flag flies at half-mast at the Sydney Cricket Ground following the death of Phillip Hughes at the age of 25
The cricketing world has reacted following the death of Hughes after he was struck by a short-pitched ball
Hughes (left), pictured immediately after he was struck, and New South Wales player Sean Abbott (right) after the accident
Alitolewa katika uwanja wa Sydney Cricket na kupelekwa katika hospitali ya St Vincent akiwa katika hali mbaya, ambapo madaktari waliamua kumpatia matibabu.
Wachezaji wenzake na wanafamilia walimtembelea hospitalini huku Hughes akiwa katika kitengo cha huduma ya hali ya kukosa fahamu lakini kamwe hakupata fahamu na kufa siku ya Alhamisi.
Devastated Australia captain Michael Clarke pictured at a press conference following Hughes' death on Thursday morning
Hughes, Marcus North (centre) and Ben Hilfenhaus (right) of Australia enjoy victory over South Africa in 2009
Hughes sweeps the ball on the way to a hundred during his second Test in Durban in 2009
Hughes of Australia enjoys victory with his father Greg after his Test debut against South Africa in 2009
Hughes (centre) walks off with Ashton Agar during the first Ashes Test at Trent Bridge last summer
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments