Uongozi wa klabu ya Simba chini ya kamati yake ya utendaji iliyokutana Juzi jumatatu,umitisha mkutano kuu,utakaofanyika
kabla ya mwezi wa kumi na mbili.
kabla ya mwezi wa kumi na mbili.
Mkutano mkuu ulitakiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa kumi na mbili,lakini uongozi umefikia uamuzi wa kuitisha mkutano huo mapema kidogo,ili kujadili mambo mbalimbali ikiwemo suala la mwenendo mzima wa timu hiyo.
Mkutano huo pia utatoa nafasi kwa wanachama kutoa maoni mbalimbali juu ya timu pamoja na mambo mengine.
Swali linaloulizwa ni, katika mkutano huo swala la wanachama waliofutwa uwanachama katika klabu hiyo kwa sababu ya kwenda mahakamani (UKAWA), watarudishwa?
|
MSIKILIZE KATIBU MKUU WA SIMBA,STEPHEN ALLY AKIZUNGUMZA
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments