Michael Richard Wambura, ameibuka na kupinga maamuzi klabu huyo kwa kusema yeye Bado ni mwanachama halali
wa klabu hiyo,na hayo ni baada ya siku chache kwa uongozi wa klabu ya Simba kuwafuta uanachama wanachama 72 kwa mujibu wa katiba ya Simba, akiwemo yeye Wambura.

ANGALIA VIDEO AKIZUNGUMZA ZAIDI
0 Comments