Nahodha wa Manchester City Vincent Kompany amesaini mkataba mpya wa miaka mitano,na kukaa katika klabu hiyo
hadi 2019.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 anajiunga na Aleksandar Kolarov, Samir Nasri na David Silva ambao nao wamesaini mkataba mpya na mabingwa hao wa Barclays Premier League ambao wako tayari kutetea nafasi yao.
Kompany imekuwa kati ya sehemu ya mafanikio ya City tangu kuwasili kwake katika Uwanja wa Etihad mwaka 2008 kutoka Hamburg, mara mbili amekuwa sehemu ya ushinda wa kombe.
Aliiambia tovuti rasmi ya klabu hiyo : "Nilipofika mwaka 2008, sikufikiri kwamba tunaweza kufikia kile tulichonya zaidi ya miaka sita iliyopita lakini, kwangu , huu ni mwanzo tu wa safari".
ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments