Ticker

6/recent/ticker-posts

PICHA:ANGALIA AZAM ILIVYOTWAA UBINGWA WA MASHINDANO YA ROLLING STONE

Mhariri:Herman Kihwili IMEWEKWA.JUL.28,2014 SAA 04:13 USIKU

Azam Academy imetwaa ubingwa wa Rolling Stone 2014 baada ya kuichapa magoli 2-0 timu ya  JWTZ Twalipo
Academy katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa karume Jijini Dar es salaam.

Magoli yaliyofungwa na Jamil Mchaulo Baloteli dk4 na Adam Omar Soba dk88 yametosha kuipa ushindi Azam Academy .

ANGALIA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI
















Katibu wa Azam FC, Nassor Idrisa 'Father' akimkabidhi Nahodha wa Champion, Kombe la ubingwa wa vijana chini ya umri wa miaka 15 





Mwenyekiti wa Chama cha Soka Dar es Salaam (DRFA), Almasi Kasongo kulia akimkabidhi Kombe, Nahodha wa Azam FC











Mfungaji wa Bao la Kwanza Jamil Mchaulo (Baloteli)

ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .


Post a Comment

0 Comments