Chelsea ametangaza kumsainiwa kiungo wa Croatia Mario Pasalic kutoka Hajduk Split.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka19, ambaye
aliiwakilisha nchi yake katika mashindano ya Kombe la Dunia chini ya miaka 21 na aliitwaa katika kikosi cha cha wachezaji 30 wa timu ya taifa mara moja,alijiunga kikosi cha Jose Mourinho kwa ajili ya mazoezi ya kabla ya msimu.
"Nina furaha sana kwa sababu mimi sasa ni mchezaji wa Chelsea," aliiambia tovuti rasmi ya ya klabu hiyo . "Ninafurahia sana mazozi ya hapa na lazima nimshukuru kila mtu katika timu ya Hajduk.
Pasalic ni mchezaji wa tatu kusainiwa na Chelsea katika dirisha hili la uhamisho ,Kufuatia uhamisho wa Cesc Fabregas kutoka Barcelona na Diego Costa kutoka Atletico Madrid, ingawa mchezaji huyo anaweza kutolewa kwa mkopo ili kuweza kupata uzoefu zaidi .
ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments