Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.May. 28,2014 SAA 02:00 USIKU
kaimu mwenyekiti wa zamani wa Simba sc na mjumbe wa kamati ya utendaji katika uongozi uliyomaliza muda wake
chini ya mwenyekiti wake Ismail Aden Rage,Joseph Itang`are `Mzee kinesis` amejiondoa katika kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya umakamu wa rais.
Itangare ambaye amesema amejiondoa kwa sababu za kifamilia,amejiondoa ikiwa ni siku moja tu baada ya kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba sc chini ya mwenyekiti wake, Wakili Dkt. Ndumbaro, kumuengua mgombea wa rais wa klabu hiyo, Michael Richard Wambura katika uchaguzi wa juni 29 mwaka huu.
Mzee Kinesi amesema bado ataendelea kuwa mwanachama wa kawaida wa klabu ya Simba.
NAFASI YA MAKAMU WA RAIS ILIKUWA IKIGOMBEWA NAWAFUATAO
Kamati ya uchaguzi ya Simba,kesho tarehe 29 itafanya Usaili wa wagombea waliopita katika mapingamizi katika ukumbi wa Police Officers Mess Oysterbay kuanzia saa 3 asubuhi.NAFASI YA MAKAMU WA RAIS ILIKUWA IKIGOMBEWA NAWAFUATAO
0 Comments