Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.May. 28,2014 SAA 12:30 JIONI
Beki wa timu ya England Glen Johnson anasema
kwamba Luis Suarez anaamini atakuwa fit wakati watakupokutana mwezi ujao katika Kombe la Dunia.
Johnson anasema mchezaji huyo mwenzake wa Liverpool na mshambuliaji wa Uruguay - ambapo wanaweza kukutana katika mchezo wa pili wa Uingereza nchini Brazil - na anaamini hajaumia sana goti lake kama watu wanavyoogopa.
"anadhani hajaumia vibaya sana,hivyo anadhani atakuwa ok," Johnson alisema. "Lengo langu kama mtu binafsi sihitaji kumwona akiwa amejeruhiwa".alisema Johnson
Johnson pia alisema kuwa anadhani Raheem Sterling anaweza kuleta mshangao kwa timu ya England kama silaha nchini Brazil - na kuunga mkono wachezaji wenzake wa klabu Steven Gerrard na Jordan Henderson kwa kuanza kwa pamoja katika kikosi.
0 Comments