Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.May.25,2014 SAA 06:30 USIKU
Real Madrid imefanikiwa kunyakuwa kombe la Ligi ya Mabingwa usiku huu baada ya kuwafunga ndugu zao Atletico
Madrid mabao 4 kwa 1 katika mchezo wa fainali uliopigwa katika uwanja wa Estadio da Luz,Mjini Lisbon, Ureno.
Mpaka wanakwenda mapumziko Atletico Madrid ndio walikuwa wanaongoza baada ya Diego Godin kupachika bao la kwanza dakika ya 36.
Real Madrid imefanikiwa kunyakuwa kombe la Ligi ya Mabingwa usiku huu baada ya kuwafunga ndugu zao Atletico
Madrid mabao 4 kwa 1 katika mchezo wa fainali uliopigwa katika uwanja wa Estadio da Luz,Mjini Lisbon, Ureno.
Welsh wonder: Bale with the flag of his home nation as he celebrates Real's victory
Silverware: Captain Iker Casillas lifts the Champions League trophy for Real Madrid
Uplifting: Ronaldo gets his hands on the trophy in Lisbon after Real's extra time victory
Dream duo: The £166m partnership of Ronaldo and Bale enjoy Real's victory at the Stadium of Light
Jumping for joy: Ramos joins in the party as Real Madrid bask in their glory in Lisbon
Landmark: Real Madrid's players celebrate their 10th European Cup triumph
Pat on the head: Bale is congratulated by UEFA president Michel Platini as he walks past the trophy
Flashpoint: Atletico Madrid manager Diego Simeone confronts Raphael Varane towards the end of extra time
Mpaka wanakwenda mapumziko Atletico Madrid ndio walikuwa wanaongoza baada ya Diego Godin kupachika bao la kwanza dakika ya 36.
Dreamland: Diego Godin of Atletico Madrid celebrates scoring the opening goal |
Kutokana na kutokuwa vizuri kimchezo,Diego Costa ambaye alilipotiwa kumuona mganga wa kienyeji ili kuweza kupona haraka na kuweza kucheza mchezo huu muhimu wa ligi ya mabingwa,alitoka mapema katika dakika ya 9 na kumpisha Adrian ili kuweza kusongesha gurudumu.
Failed gamble: Diego Costa limps off with a hamstring problem after just nine minutes |
Down but not out: Gareth Bale of Real Madrid reacts after a missed chance at goal |
Gareth Bale aliweza kujilaumu mwenyewe baada ya kukosa nafasi ya bao,baada ya kutokea changamoto kwa mpira kugusa kidogo mguu wa mchezaji wa Atletico Madrid.
Up and over: Atletico Madrid's Diego Godin (third left) jumps and heads home the first goal |
Seeing yellow: Referee Bjorn Kuipers shows Sergio Ramos of Real Madrid a yellow card |
Hurt: Real's Cristiano Ronaldo (left) lies on the ground after a collision |
Face-to-face: Angel Di Maria of Real Madrid looks on as Fabio Coentrao clashes with Gabi of Atletico Madrid |
Na mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika Atletico Madrid wakawa wanaongoza kwa bao moja kwa sifuri dhidi ya Real Madrid.
Front row seats: UEFA president Michel Platini (centre) takes his seat inside the ground |
Kipindi cha pili kilianza kwa timu zote kushambuliana na Real Madrid kuendelea kukosa nafasi kadhaa kwa kupitia kwa wachezaji wake wakiongozwa na bale ambaye alikosa nafasi kadhaa katika mchezo huo lakini katika dakika ya 93 baada ya dakika 90 kumalizika Sergio Ramos aliisawazishia Real Madrid kwa kichwa baada ya kupigwa Kona,na mchezo kuongezwa dakika za ziada
Late booking: Real Madrid's Sami Khedira is shown a yellow card seconds before half-time |
Heads up: Real Madrid's Gareth Bale (left) and Atletico Madrid's Diego Godin challenge for the ball
|
Anguish: Real Madrid supporters react after seeing their team fall behind |
Blocked: Real Madrid's Cristiano Ronaldo sees a free kick deflected by the Atletico Madrid wall
|
Not again! Real Madrid's Gareth Bale reacts after missing a third decent opportunity to score |
On the volley: Real Madrid's Cristiano Ronaldo attempts a shot on goal as Atletico Madrid tried to hold on to the lead
|
Saviour: Sergio Ramos (second right) heads home Real Madrid's injury time equaliser
|
I can't hear you: Ramos celebrates his dramatic equaliser
|
Mara baada ya dakika za ziada kuongezwa hatimaye Real Madridi wakazinduka na kupatamabao matatu na nyakuwa kombe hilo la Ligi ya mabingwa Ulaya,na mabao yao yalifungwa Gareth Bale dakika ya 110,Marcelo dakika ya 118 na Cristiano Ronaldo kwa penalti dakika ya 120 ya mchezo,na kuchomoka na ubingwa huo wa Ligi ya Mabingwa.Real Madrid sasa imechukuwa kombe la 10 la Ligi ya Mabingwa ulaya
Delight: Gareth Bale scored a vital goal for Real Madrid in extra time in the Champions League final
Delight: Real Madrid celebrate Gareth Bale's breakthrough goal in extra-time
Welsh wonder: Bale with the flag of his home nation as he celebrates Real's victory
Dream duo: The £166m partnership of Ronaldo and Bale enjoy Real's victory at the Stadium of Light
Jumping for joy: Ramos joins in the party as Real Madrid bask in their glory in Lisbon
Flashpoint: Atletico Madrid manager Diego Simeone confronts Raphael Varane towards the end of extra time
Real Madrid: Casillas, Carvajal, Varane, Sergio Ramos, Fabio Coentrao (Marcelo 59), Modric, Khedira (Isco 59), Di Maria, Bale, Benzema (Morata 79), Ronaldo.
Subs not used: Diego Lopez, Pepe, Arbeloa, Illarramendi.
Booked: Ramos, Khedira, Marcelo, Ronaldo, Varane.
Goals: Ramos 90, Bale 110, Marcelo 118, Ronaldo 120.
Atletico Madrid: Courtois, Juanfran, Miranda, Godin, Filipe Luis (Alderweireld 83), Raul Garcia (Sosa 66), Gabi, Tiago, Koke, Villa, Diego Costa (Adrian 9).
Subs not used: Aranzubia, Mario Suarez, Rodriguez, Diego.
Goals: Godin 36.
Booked: Garcia, Miranda, Villa, Juanfran, Gabi, Koke, Godin.
Referee: Bjorn Kuipers (Holland)
0 Comments