Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.May. 17,2014 SAA 02:00 USIKU
Kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) hii leo wamechomoka na ushidi wa bao 1 kwa 0 dhidi ya timu ya Zimbabwe (Mighty Warriors),katika mchezo wa mchujo kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya
kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika 2005 nchini Morocco,mchezo uliopingwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika 2005 nchini Morocco,mchezo uliopingwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Mechi hiyo ambayo ni ya kwanza katika raundi ya kwanza ya michuano hiyo,ilishuhudiwa na mashabiki wa chache waliojitokeza kushuhudia mchezo huo tofauti na siku zote.
Bao la Taifa Stars lilifungwa na mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco ‘Adebayor’ dakika ya 13 akiunganisha kwa krosi ya mshambuliaji wa TP Mazembe Thomas Ulimwwengu.
![]() |
Thomas Ulimwwengu. akishangilia baada ya kutoa pasi iliyozaa bao |
![]() |
Kocha wa Zimbabwe |
![]() |
Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij |
0 Comments