Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.May. 21,2014 SAA 6:42 USIKU
Mara baada ya mwenyekiti wa klabu ya Yanga,Yusuph Manji kulifuta tawi la Tandale kutokana na kile anachosema tawi hilo ni chanzo cha vurugu ndani ya klabu hiyo na pia
kuwafuta uanachama wanachama sita ambao walikiuka katiba ya Yanga kwa kwenda kuongea na waandishi na HABARI bila ya Idhini ya uongozi huku pia wakishindwa kulipia ada zao za uanachama kwa zaidi ya miezi sita, wa wanachama hao waliofutwa uanachama ni:
1. Ally Kamtande, 2. Isiaka Dude, 3. Hamisi Matandula, 4.Waziri Jitu Ramadhani, 5.Mohamed Kigali Ndimba , 6. Selaman Hassan Migali .
![]() |
Isiaka Dude (katikati) |
![]() |
Kutoka kushoto:Hamisi Matandula na Nasra Mbwana anayezungumza |
Sasa basi Jamii na Michezo inakualika kusikiliza kile walichokisema wanachama hao,na hapa unakutana na Nasra Mbwana ambaye ni mwenyekiti wa kikundi cha ushangiliaji wa tawi hilo la Tandale,ameamua kufunguka ya moyoni kuhusu sakata hilo.
MSIKILIZE
0 Comments