Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO:SIKILIZA WALICHOKISEMA TFF KUHUSU TETESI ZA KOCHA HUYO

  Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA March. 17,2014 SAA 12:08 JIONI

Mara baada ya Shirikisho la mpira Tanzania TFF kukubaliana kwa pamoja FEB. 27,2014 na aliyekuwa mwalimu wa Mpira Tanzania Kim Pousin Kwamba wasitishe huduma ya kufundisha Timu ya
Taifa ya Tanzania,kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu atakayemrithi kocha huyo kuchukuwa mikoba ya kukinoa kikosi cha Taifa Stars.
Tunaachana kwa amani:Kim Pousin na Rais wa Tff Jamali Malinzi wakipeana mkono mara baada ya mkutano na na waandishi habari baada ya kusitisha mkataba wa kocha huyo
Martinus Ignatius Nooij  aliyezaliwa Heemskerk huko Netherlands amekuwa akihusishwa sana na kupewa nafasi kubwa,sasa basi Jamii na Michezo imepata kuzungumza na msemaji wa shirikiso la mpira Tanzania Boniface Wambura Mgoyo ili kuweza kupata ukweli kuhusu kocha  Martinus Ignatius Nooij au "Mart" Nooij.

SIKILIZA MAHOJIANO HAPO CHINI



Post a Comment

0 Comments