Ni vijana wanaofanya mazoezi ya michezo wa Baiskeli katika kituo cha mabasi cha morocco jijini Dar es salaam,wameamua kujifunza
mchezo huo tofauti na ilivyo kwa baadhi ya vijana wengine wanapenda michezo kama soka N.k
mchezo huo tofauti na ilivyo kwa baadhi ya vijana wengine wanapenda michezo kama soka N.k
Hii ni video fupi inayoonesha kipaji walichojaliwa na mungu.
0 Comments