Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA FEB. 23,2014 SAA 02:05 USIKU
Jordan
Henderson na Daniel Sturridge wameingia katika nyavu mara mbili mbili kila mmoja na kuifanya Liverpool kuondoka na
pointi 3 muhimu katika uwanja wao wa Anfield dhidi ya Swansea.
Vijana wa Brendan Rodgers wamepata ushindi wa mabao 4 kwa 3 huku wakiendelea kusumbuliwa na ulinzi lakini wamebakiza pointi nne dhidi ya viongozi wa Ligi Kuu ya Barclays Chelsea baada
ya kujipatia ushindi huo.
| Makubwa: Suarez (kushoto) akienda chini katika eneo la penalti baada ya changamoto kutoka kwa mchezaji wa Swansea Canas (kulia) |
| Heshima: Timu zote mbili walisimama kwa heshima ya maisha ya mchezaji wa zamani wa England winga Sir Tom Finney, ambaye alikufa wiki iliyopita |

0 Comments