Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA JANU. 31,2014 SAA 03:04 USIKU
Klabu ya West Ham imemsaini mlinzi wa klabu ya Napoli, Pablo
Armero kwa mkopo hadi mwisho wa msimu.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27
raia wa Colombia ni mlinzi wa kushoto, ameonekana katika mechi 18 msimu huu na klabu yake ya nchini Italia , ikiwa ni pamoja na ukijumlisha mechi ya Champions League ambayo walishinda 2-0 dhidi ya Arsenal.
Alijiunga na Napoli kufuatia mafanikio aliotumikia kwa mkopo katika klabu hiyo,akitokea klabu ya Udinese msimu uliopita.

0 Comments