Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA JANU. 21,2014 SAA 08:12 USIKU
Kufuatia wimbi na aina mpya ya utapeli ulioibuka nchini Tanzania,utapeli kupitia mtandao,huku wengine wakiwa wamesajili
kampuni ambayo wameiingiza katika mtandao wao ambao wanaeleza kuwa wao wanakopesha mikopo wanainchi, mikopo hiyo wanadai kuwa ni kwa ajili ya shunguli mbalimbali za kimaendeleo ikiwemo ujenzi wa nyumba bora lakini pia mikopo hiyo haina riba
Bwana Wilson Makumila mwenye umri wa miaka 35 ni mmoja wa watu waliotapeliwa na kampuni ambayo inadai kutoa huduma.
Katika Taarifa hii utasikia mmoja ya watu ambao wanatoa huduma hii ya utapeli ambapo namba yake ya simu imesajiliwa kwa jina la Wema Sepetu pamoja na yeye mwenyewe kujiita kuwa ndiye Wema Sepetu.
Utamsikia Wema Sepetu mwenyewe HALISI anasema nini kuhusiana na hiyo taarifa na pia kauli ya mamlaka ya mawasiliano.
Bonyeza Play kusikiliza taarifa hii iliyoandaliwa na Masau Bwile kutoka Wapo radio Fm
0 Comments