Na.Ngonise Kahise,IMEWEKWA NOVEMBA 17.2013 SAA 12:03 JIONI
Muimbaji wa nyimbo za injili Rose Muhando amethubitisha
kushiriki katika tamasha la Christimas lilinaloandaliwa na Msama Productions Limited jijini Dar es salaam.
kushiriki katika tamasha la Christimas lilinaloandaliwa na Msama Productions Limited jijini Dar es salaam.
| Alex Msama (kulia),akizungumza na waandishi wa habari(awapo pichani) |
Akizungumza na waandishi wa habari
jijini Dar es saalam Ndugu Alex Msama ambaye ni mmiliki wa Company ya
Msama Productions Limited amesema,mwaka huu Msama Production
wamejiandaa vya kutosha.
| Ya kwanza:Rose Muhando akitaja nyimbo mpya atakazoimba |
Naye Rose Muhando ameahidi Kuachia Vibao 3 vipya na ataimba Live bila kutumia CD siku hivyo ya tamasha la pasaka .
| Rose Muhando (kushoto)akitoa kionjo cha nyimbo atakayoimba |
Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika tarehe 25/12/2013 likiwa lina hudhuliwa na waimbaji maarufu wengi wa injili.
Nyimbo mpya za Rose Muhando ambazo ataimba siku hiyo ya tamasha la Christimas ni (Kwema,pamoja na kamata pindo)
0 Comments