Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA OCTOBA 6,2013 SAA 03:06 USIKU
![]() |
| Muhimu: Olivier Giroud akisheherekea bao la kusawazisha la Wilshere |
Jack Wilshere ameiokoa timu ya Arsenal iliyokuwa inatapatapa mbele ya West Brom kwa kuweza kuwasawazishia katika dakika
ya 63.![]() |
Bao la kwanza:Mchezaji wa West Brom Claudio Yacob aliiwezesha timu yake kuongoza katika dakika ya 42
|
![]() |
| Wakati wa kusherehekea: Yacob akipongezwa na wachezaji wenzake Nicolas Anelka na Stephane Sessegnon |
The Gunners walikuwa nyuma baada ya Claudio Yacob kufunga bao la kwanza kwa kichwa katika kipindi cha kwanza ndani ya dakika ya 42 na kuifanya timu ya West Bromwich Albion kuongoza katika mchezo huo, kabla ya Jack Wilshere aliyebambwa wiki iliyopita akivuta sigara nje ya klabu ya usiku mbele ya umma akiisawazishia Arsenal katika dakika ya 63.
![]() |
| Jack Wilshere akipiga bao zuri la la kusawazisha katika nusu ya pili |
![]() |
kusawazisha: Jack Wilshere akisheherekea bao la kusawazisha kwa Arsenal baada ya West Brom kutangulia kuongoza
|
![]() |
| Mjerumani Mesut Ozil teena katika hisia kali ndani ya The Gunners |
Akiba: Daniels, Popov, Rosenberg, Lugano.
Mfungaji: Yacob 42
Kadi ya njano: Olsson
KIKOSI CHA ARSENAL: (4-4-1-1)
Szczesny 7, Jenkinson 6, Mertesacker 7, Koscielny 6, Gibbs 7; Ramsey 5,
(Rosicky 59, 6) Arteta 7, Flamini 7, Wilshere 7; Ozil 6; Giroud 7.
(Bendtner 85)
Akiba: Fabianski, Vermaelen, Monreal, Miyaichi, Gnabry.
Kadi za njano: Flamini, Wilshere
Mfungaji: Wilshere 63
Refa: Lee Mason






0 Comments