IMEWEKWA OKTOBA 24,2013 SAA 6:00 USIKU
Sergio
Aguero ametikisa nyavu mara mbili chini Urusi na kuifanya Manchester City
kuelekea Ligi ya Mabingwa katika hatua ya
mtoano na ushindi wa mabao 2-1 dhidi
ya CSKA Moscow.
MuArgentina
iliendeleza utajiri wa magoli kwa kufunga mara mbili dakika ya 34 na 42 na
kukaa katika nafasi ya pili katika kundi gumu D baada ya aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Manchester
United Zoran Tosic kufunguliwa bao la kwanza kwa upande wa CSKA Moscow katika dakika ya 32.
![]() |
| Keisuke Honda akimpongeza Tosic baada ya kufunguliwa bao |
Licha
ya kukabiliana na kukosoa uwanja wa Khimki ,City walipata nafasi nyingi na kucheza mchezo salama na waliweza kushinda, na Joe Hart kuweza kuokoa mipira ya hatari ya Keisuke Honda.
![]() |
| Timu ya Manuel Pellegrini imesogea na kuwa na alama sita kwa michezo mitatu katika kundi D |





0 Comments