Na.Herman Kihwili.IMEWEKWA SEPT. 26,2013 SAA 2:51USIKU
Ofisi ya taifa ya takwimu imewataka wananchi kuweza kujifunza na kujua umuhimu wa takwimu nchini,kwani wananchi wengi hawana
ufahamu mzuri wa matumizi ya takwimu nchini.
ufahamu mzuri wa matumizi ya takwimu nchini.
Hayo yamesemwa na ofisa mkuu wa habari wa serikali Said Ameir, katika semina maalumu ya waandishi wa habari waliopewa fulsa ya kujifunza ilikutoa taarifa na elimu kwa wananchi,ambapo amesema katika nchi zilizoendelea wanatumia takwimu za aina mbalimbali kwa kutoa taharifa muhimu kwa wananchi,na kusisitiza ofisi ya taifa ya takwimu ndiyo inatakiwa ifuatwe kwani ndio imepewa jukumu la kusimamia takwimu mbalimbali.
![]() |
| Waandishi wa habari wakufuatilia semina iliyoandaliwa na Ofisi ya taifa ya takwimu |
Aidha Said Ameir ameongeza kuwa ofisi ya taifa inakabiliwa na changamoto mbalimbali kwani inabidi wawafundishe wananchi matumizi ya takwimu.



0 Comments