Ticker

6/recent/ticker-posts

KWA FURAHA KUBWA,CRISTIANO RONALDO NA GARETH BALE WAKUTANA KWA MARA YA KWANZA NDANI YA BERNABEU

 Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA SEPT 11,2013 SAA 3:10 USIKU
Wachezaji wawili wa ghali duniani Cristiano Ronaldo na Gareth Bale,wamekutana  kwa mara ya kwanza tangu  Gareth Bale avunje rekodi ya dunia kwa kusaini Real Madrid kwa kitita  cha £ 86millioni.
Kwa pamoja tutaweza:Cristiano Ronaldo inamkaribisha Gareth Bale ndani ya  Real Madrid siku ya leo Jumatano
Wachezaji hao ambao walipoonana walisalimiana kwa kushikana mikono na kupeana salamu,kuashiria kazi ni moja katika msimu
mpya.Cristiano Ronaldo mchezaji wa ghali wa zamani duniani,baada ya kuripoti kuwa katika  mafunzo tata na klabu kufuatia mapumziko ya kimataifa.
Karibu ndani : Bale na Ronaldo wakitabasamu baada ya wao kufika katika mazoezi ndani ya  Real Madrid
Marafiki wamekutana tena: Bale akizungumza na mchezaji wa zamani wa Tottenham  Luka Modric
Timu ikiwa katika majadiliano: Bale (wa tatu kushoto) akisimama nyuma Cristiano Ronaldo wakimsikiliza Carlo Ancelotti
Msaada katika tuta: Kocha Carlo Ancelotti akizungumza na  bale na kumpatia mbinu zake wakati wa mazoezi
Hawezi kuacha kutabasamu: Gareth Bale anaonekana  kuwa na furaha akiwa katika mazoezi  na Real Madrid kwa mara ya kwanza katika uwanja wao wa Valdebebas, mazoezi hayo yalifanyika mchana wa siku ya Jumatano. mchezaji huyo anaweza kucheza mechi yake ya kwanza dhidi ya Villarreal siku ya Jumamosi
Bale ambaye alicheza dakika 32 na timu yake ya Wales,katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe kombe la dunia dhidi ya Serbia mjini Cardiff siku ya Jumanne usikuambapo walifungwa bao  3 kwa 0,alirudi mara moja nchini Hispania ili kujiandaa kwa ajili ya kuanza kama kunauwezekano katika mchezo dhidi ya Villarreal  siku ya Jumamosi.

Post a Comment

0 Comments