IMEWEKWA SEPT. 16,2013 SAA 8:45 USIKU
Jose Mourinho hataweza kulala,kama tu atakuwa ameziona picha za marudio ya mchezo kati ya Chelsea na Everton katika mchezo
uliomalizika kwa Chelsea kupokea kichapo cha bao 1 kwa 0.![]() |
Nje ya nafasi: David Luiz hayuko karibu na Steven Naismith wakati anaipatia bao Everton
|
Angalia iyo picha hapo juu, inaonyesha kuna wachezaji wa nne wa Everton wanalishambulia lango la upande wa Chelsea, Luiz akiwa hana habari wakati lango lao linashambuliwa.
![]() |
Amepotezea: Steven Naismith akifunga goli peke yake katika mchezo na Daudi Luiz amesimama na kumuangalia tu
|
![]() |
| Bado amesimama: Naismith akishangilia bao lake na Luiz bado akiangalia |
Hakika Luiz alikuwa anajilinda mwenyewe na hana wasiwasi hata kidogo kwa adui aliye karibu yake, lazima alikuwa anaota kuwa kuna John Terry na Gary Cahill.
Mourinho anaamini mafanikio ya Chelsea yamekuja kutokana na walizi wa timu hiyo ambao : Terry, Ricardo Carvalho ambaye sasa yuko timu ya Monaco akitokea Real Madrid na mchezaji wa zamani wa timu hiyo William Gallas.
kipa Bora,walinzi wa nne na viungo na kisha wengine wanaambiwa: "mnaweza kwenda kushinda katika mchezo"
Luiz anataka kucheza wakati wote. Ndiyo, yeye ana uwezo bora wa kiufundi na anaweza hata kuwa beki bora katika dunia.
Yeye alishinda Ligi ya Mabingwa na anaweza pia kushinda Kombe la Dunia na Brazil. Lakini katika Ligi Kuu yeye iliweza kuiumiza timu yake kwa kumuachia mpinzani.
Ana uhakika anafaa kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa na si ajabu kama Jose
atamtumia yeye zaidi katika Europe na atawapumzisha Terry, na Gary Cahill na
Terry amekuwa katika ligi. Inaonekana ufumbuzi bora kwa kuangalia kile kilichotokea katika Goodison.
![]() |
| Juu na kimbia: Kocha wa Everton Roberto Martinez akisisitiza wachezaji wa Everton kuwapiga Chelsea |





0 Comments