Ticker

6/recent/ticker-posts

SERGIO BUSQUETS AFUATANA NA BABA YAKE KWENDA KUONGEZA MKATABA BARCA

Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA AGOSTI 28,2013 SAA 9:30usiku

Saa 7:30 mchana wa jana  katika ofisi ya klabu hiyo ya  Barca,baada ya kuweka juu kalamu na karatasi na kutia saini ya  mkataba wake mpya na klabu yake,Kwa maana hiyo ataitumikia klabu hiyo mpaka 2018.

Tabasamu:Ulaji,ulali,ulaji

Sergio Busquets ametia saini kwa kipindi kingine cha miaka 5 na klabu yake ya Barcelona, ​​kwa maana hiyo mkataba wake utamalizika mpaka Juni 30, 2018.

Sergio Busquets:hapa mabo poa tu,hakuna matata

Saa 7:30 jana katika ofisi ya klabu hiyo ya Barcelona,alichukua kalamu na karatasi na kusaini mkataba wake mpya na klabu yake, katika tukio ambalo walikuwepo Mkurugenzi wa mpira wa klabu hiyo Andoni Zubizarreta, baba yake Sergio Busquets ambaye ni mchezaji wa zamani wa Barca Carles Busquets, na wakala wa  mchezaji huyo, Jose Maria Orobitg.

Post a Comment

0 Comments