Wayne
Rooney hatimaye alipata nafasi ya kuthibitisha kuwa yuko fiti,na kuizima kauli ya Manchester United,kuwa hayuko fiti.
mshambuliaji huyo alicheza kwa dakika 66 katika mchezo ambao England walishinda 3-2 dhidi ya Scotland katika uwanja wa Wembley siku ya Jumatano.
Rooney imeripotiwa ana nia ya kuondoka Old Trafford na kujiunga na
Chelsea na alikosa katika kampeni ya klabu yake ya kujiandaa na msimu mpya, hivyo
kuzua uvumi kuwa meneja wa United David Moyes ambaye pia waliwai kukorofishana siku za nyuma,kaamua kumpotezea,na Rooney asijue msimamo wake.
Moyes
alisema rooney kaumia bega,na ndio maana hakucheza katika mechi ambayo United walishinda 2-0 dhidi ya Wigan katika ngao ya jamii siku ya Jumapili, lakini kocha wa timu ya England Roy Hodgson alimuona Rooney ilikuwa katika hali nzuri,na kumpanga kuanza katika mechi ya kirafiki.
Rooney
ilionyesha mengi ya kuasharia ya kuwa taharifa za kuwa hakuwa fit si za kweli, lakini bega lake lilikuwa likiangaliwa sana kama litamsumbua kama alivyosemekana.
Moyes, alikuwa anafanya kazi ya uchambuzi katika televisheni, alisema alikuwa na furaha baada ya kumuona mshambuliaji wake amerudi katika katika kasi yake ya zamani.
Moyes, alikuwa anafanya kazi ya uchambuzi katika televisheni, alisema alikuwa na furaha baada ya kumuona mshambuliaji wake amerudi katika katika kasi yake ya zamani.
Kila mtu anapenda kumuona Wayne Rooney anacheza vizuri," Moyes aliiambia ITV.
"
" kabla ya msimu, nimepata wachezaji ambao wako fit, hivyo ni pamoja na yeye nimepata kumuona yuko vizuri kidogo usiku wa leo "alisema Moyes
Na kocha Roy Hodgson alisema kuwa "Tumekuwa
katika mawasiliana mara kwa mara na Manchester United na walikuwa na
furaha kwa Wayne Rooney kucheza, lakini sisi tuka ahidi kuwa makini naye," alisema
Hodgson.
Uso wa Furaha : Rooney na Tom Cleverley wakisheherekea baada Theo Walcott kuipatia England bao la 1kudhibiti: Rooney alikuwa huwezi kupita katika eneo lake
Stahimilivu:hatakama alikuwa anaumwa bega.
Hisia:Kocha Roy Hodgson akimueleza kitu Rooney baada ya kutoka
Macho juu : Rooney na mpira tu.
Kutokana
na kuonyesha kuwa vibaya katika mazoezi , mara
nyingi kucheza kwa uvivu wakati anarudi baada ya kuumia mara ya kwanza, ilakuwa ni vigumu
kujua kuwa yuko fit na hatma ya kesi hiyo.
Katika mchezo wa jana Rooney alionyesha mchango mkubwa,lakini alitoka na katika dk.67 na nafasi yake akachukuliwa na .Rickie Lambert,ambaye ndiye aliyo inyanyua Manchester United,baada ya kufunga bao la ushindi katika dk.70
Kumaliza mapema: Rooney nafasi yake ilichukuliwa na Rickie Lambert katika dakika ya 67
Kisha mchezaji wa Scotland Kenny Miller kuwapatia bao la pili na la mwisho timu yake,baada ya hapo timu ya England ikaonyesha mashambulizi,kwani Danny Welbeck ali funga bao la pili,kisha akitokea benchi kuchukua nafasi ya Rooney,Rickie Lamber,akaipatia bao la ushindi England katika dk.70.
Lineup, Bookings (4) & Substitutions (11)
England
- 01 Hart
- 02 Walker Booked
- 03 Baines
- 05 Cahill
- 06 Jagielka (Jones - 84' )
- 04 Gerrard (Oxlade-Chamberlain - 62' )
- 07 Walcott Booked (Zaha - 75' )
- 08 Wilshere (Lampard - 46' Booked )
- 11 Cleverley (Milner - 67' )
- 09 Welbeck
- 10 Rooney (Lambert - 67' )
Substitutes
- 13 Foster
- 23 Ruddy
- 12 Johnson
- 14 Cole
- 15 Jones
- 16 Smalling
- 17 Milner
- 18 Lampard
- 21 Oxlade-Chamberlain
- 19 Defoe
- 20 Lambert
- 22 Zaha
Scotland
- 01 McGregor
- 02 Hutton
- 03 Whittaker
- 04 Martin
- 05 G Hanley
- 06 Maloney (Naismith - 86' )
- 07 Morrison (Rhodes - 82' )
- 08 Brown
- 10 Snodgrass Booked (Conway - 66' )
- 11 Forrest (Mulgrew - 67' )
- 09 Miller (Griffiths - 73' )
Substitutes
- 12 Gilks
- 21 Marshall
- 17 Webster
- 19 Mulgrew
- 27 Greer
- 28 Hammell
- 13 McArthur
- 15 Burke
- 16 Adam
- 20 Bannan
- 23 Mackay-Steven
- 24 Dorrans
- 25 Conway
- 14 Naismith
- 18 Rhodes
- 22 Griffiths
- 26 Boyd








0 Comments