kiungo wa Arsenal Mikel Arteta atalazimika kukosa wiki sita za kwanza  katika  msimu baada ya kupatwa na majeraha.
Meneja wa Arsenal  Arsene Wenger umebainisha hayo siku ya Alhamisi asubuhi kwamba makamu nahodha huyo amepata mshtuko   baada ya kuumia mguu katika mazoezi.
Kuumia kwake ni pigo:Mikel  Arteta kuumia kwake atakaa nje karibu wiki 6
Picha ya mnato:Arteta atakosa baadhi ya mechi za ligi kuu na ligi  ya mabingwa.


Ina aminika kwamba, kwa utaratubu mala baada ya kupata matatizo lazima atakaa nje kwa wiki chache ili kuweza  kupata matatibabu.


Lakini jambo hilo linatia uchungu kwa Arsenal, kwa sababu ina maana kiungo huyo  anauwezekano wa kukosa  zaidi ya mwezi mzima wa msimu mpya.
Arteta atakosa mechi  muhimu ya kufuzu ligi ya mabingwa dhidi ya Fenerbahce na vile vile katika baadhi  mechi za  ufunguzi wa Ligi Kuu.
Biashara matangazo:Arteta pia anapiga picha kwa ajili ya matangaza ya video za  klabu ya Arsenal
Kuumia Mguu kwa kipindi hiki kwa Arteta ni tatizo kubwa  kwa Wenger, ambaye tayari amewakosa  Thomas Vermaelen, Nacho Monreal na Abou Diaby.
Aidha, Bacary Sagna inakabiliwa na muda ili kuwa fiti katika ufunguzi wa  msimu dhidi ya Aston Villa Jumamosi, baada ya kuendelea kuunguza kifundo cha mguu,baada ya kuumia wakati akitimiza majukumu yake ya kitaifa na timu yake ya Ufaransa.