Meneja wa timu ya Manchester United David Moyes amesema ratiba ya mechi za kwanza alizopangiwa kuanza klabu yake katika msimu mpya wa ligi kuu ni "ngumu kuamini".
Kocha huyo aliyelisi mikoba ya Sir Alex Ferguson,amesema ni vigumu kuamini kama kweli hiyo njia iliyotumika kupanga ratiba ni sahihi na inatoka ndani ya bodi.
"Nathani hii ni mchezo migumu ya kwanza kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 20 ya Manchester United"alisema David Moyes.
![]() |
| Moyes:Ratiba ngumu mnooo! |
Lakini bodi ya ligi kuu imemjibu kocha huyo kwa kumwambia kuwa ,mchakato wote ulikwenda sahii na David Moyes akubaliane na ratiba iliyotolewa.
Manchester United wataanza kampeni yao ya Ligi Kuu na mchezo dhidi ya Swansea, kabla ya kukabiliana
na Chelsea,kisha Liverpool,na timu iliyopanda daraja ya Crystal Palace,na mechi nyingine watacheza na Manchester City.

0 Comments