Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.APRIL.11,2018 SAA 11:48 JIONI
1942 ni wimbo unaopatikana kwenye album mpya ya Tatu ya Meek Mill, Wins and Losses ,Albamu ilitolewa Julai 21, 2017, na
Maybach Music Group pamoja na Atlantic Records Group .
Video ya wimbo huo imetoka kipindi ambacho rappa huyo yuko gerezani,ambapo ndani ya Video kunaonekana baadhi ya mashabiki wa Music wake,wakiwa na mabaongo ya kusisitiza kuachiliwa kwa mwanamuziki huyo(Free Meek Mill)
...
K1942 ni wimbo unaopatikana kwenye album mpya ya Tatu ya Meek Mill, Wins and Losses ,Albamu ilitolewa Julai 21, 2017, na
Maybach Music Group pamoja na Atlantic Records Group .
Video ya wimbo huo imetoka kipindi ambacho rappa huyo yuko gerezani,ambapo ndani ya Video kunaonekana baadhi ya mashabiki wa Music wake,wakiwa na mabaongo ya kusisitiza kuachiliwa kwa mwanamuziki huyo(Free Meek Mill)
Kama
unakumbuka hivi karibuni judge anayesimamia kesi ya Meek Mill
alipitisha hukumu kwa rappa huyo kumaliza adhabu aliyopewa na mahakama
na akaondoa matumaini ya rappa huyo kurudi nyumbani.
Rappa Huyo amehukumiwa miaka 2 Jela kwa Kosa la kuendesha Hovyo Pikipiki,huku pia huku siku za nyuma akituhumiwa kujihusisha na maswala ya dawa za kulevya na maswala ya umilikiwa wa siraha.
ANGALIA VIDEO

0 Comments