Ticker

6/recent/ticker-posts

VIDEO:JUSTIN BIEBER KAIBARIKI HII NGOMA INAYOTIKISA DUNIA

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.APRIL.18,2018 SAA 03:15 USIKU




"Hard 2 Face Reality " ni wimbo ulioandikwa na mtunzi na mwanamuziki wa Marekani Poo Bear , akiwa na mwimbaji
mwanamuzi wa Canada Justin Bieber na mwandishi na mwanamuziki wa Marekani Jay Electronica . Waliandika wimbo huo wakiwa na Kenneth Coby na Dan Kanter , na mwisho kutayarishwa na Bear. umetoka rasmi tarehe 6 Aprili, 2018, kama nyimbo ya kwanza kutoka katika albamu ya kwanza ya studio ya Bear .

ANGALIA VIDEO YA MASHAIRI

..>>>.. K

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates

Post a Comment

0 Comments