"Me So Bad" ni wimbo ulioandikwa na mwanamuziki wa Marekani wa Tinashe akiwa na rapper Ty Dolla Sign raia wa
Marekani na French Montana. Iliandikwa na TTinashe, Ty Dolla Sign, French Montana, Hitmaka , pamoja na A1 Bentley. Iliachiwa Rasmi Machi 30, 2018, kama moja ya njyimbo y tatu kutoka katika Album ya pili ya Tinashe, Joyride (2018).
ANGALIA VIDEO

0 Comments