1.Simba wako katika mchakato wa kumtafuta kocha Mpya lakini pia wataja rasmi wachezaji waliowasajili.
2.Simba pia wametoa neno kwa mchezaji wao Ramadhani Singano "Messi"
3.Yanga baada ya Kusajili wa wachezaji wa ndani ,sasa nguvu waweka katika usajili wa wachezaji wa kimataifa.
4.Ni katika Anga la kimataifa na sakata la rushwa katika shirikisho la soka Duniani FIFA.
SIKILIZA HAPO CHINI

0 Comments