Jose Mourinho amebainisha kuwa Cesc Fabregas anauwezekano wa kurudi hapo kesho Jumatano katika klabu
ya Chelsea watakapokuwa nyumbani wakiwaalika Everton.
kiungo huyo amekosa mechi mbili za mwisho na kutokana na tatizo la misuli ya paja baada ya kupata tatizo hilo katika mchezo wa walioibuka na ushindi katika nusu fainali ya pili ya Capital One Cup dhidi ya Liverpool.
Mourinho aliiambia tovuti rasmi ya klabu hiyo: "Nadhani atacheza siku ya Jumatano kwa sababu siku ya Jumamosi ulikuwa ni uamuzi wa kumlinda".
"tunawataka wachezaji wawili hatari kwa wakati mmoja".
"kumuhatarisha WILLIAN na kuanza na wachezaji wawili kuwahatarisha ni kamari kubwa," aliongeza Mourinho akimaanisha ushindi wa 2-1 dhidi ya Aston Villa mwishoni mwa wiki.
Cesc Fabregas anatarajiwa kurudi, sasa itakuwa ni uchaguzi wa meneja kwa sababu Ramires amerejea kufuatia msimu kusumbuliwa na majeraha.
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments