Baada ya mchezo wa kwanza wa Ligi kuu England kushuhudia West Ham United ikiiangamiza kwa mabao 3 - 0
timu ya Hull City,mchezo wa pili wa ligi hiyo pia umemalizika katika dimba la Etihad Stadium ukishuhudiwa pia Arsenal ikiiangamiza Manchester City kwa mabao 2 bila majibu.
timu ya Hull City,mchezo wa pili wa ligi hiyo pia umemalizika katika dimba la Etihad Stadium ukishuhudiwa pia Arsenal ikiiangamiza Manchester City kwa mabao 2 bila majibu.
Mabao ya Arsenal ambao walimuacha nje ya kikosi kipa wao Wojciech Szczesny aliyekuwa akishiriki katika mazoezi na kikosi cha vijana cha Arsenal na kuamua kumtumia David Ospina,yalifungwa na Santi Cazorla kwa penalti dakika ya 24 na lingine likipachikwa nyavuni na Sergio Aguero Dakika ya 86 ya mchezo huo.
Olivier Giroud (right) nods the ball past Joe Hart in the Manchester City goal to double Arsenal's advantage
Hart can only look back in anger as the ball nestles in his net and Arsenal head off in celebration at scoring a second goal
Giroud salutes the crowd after heading home for Arsenal to set the Gunners firmly on their way to a rare victory in Manchester
Giroud slides in jubilant celebration and is joined by Arsenal team-mate Alexis Sanchez as they head towards a crucial three points
Manchester City wamepata kipigo hiko, huku pia kukishuhudiwa kukosekana kwa wachezaji wake samir nasri pamoja na Yaya Touré ambaye yuko na kikosi cha Ivory Coast akitarajia kushiriki mashindano ya mataifa ya Afrika,nchini Equatorial Guinea.
ANGALIA PICHA
Santi Cazorla fired home the opening goal from the penalty spot as he sent the ball past the outstretched arms of keeper Hart
Nacho Monreal hits the brick wall of Vincent Kompany as he attempts to get on the end of a ball into the Manchester City box
Monreal was caught by Kompany with the contact sending the left back crashing to the ground inside the penalty box
Monreal's fall handed Arsenal the perfect opportunity to go in front at the Etihad and Cazorla did not waste his opportunity
Cazorla leads the Arsenal celebrations after the Spaniard kept his cool to fire home from the penalty spot
Cazorla is joined in his celebration by striker Giroud who would go on to double the visitors' advantage in the second half
Kompany fouls Giroud and is then shown the yellow card as Manchester City fought to get back into the game at the Etihad
Sergio Aguero, Steven Jovetic and Frank Lampard look dejected as Manchester City head for a crushing defeat by Arsenal
Cazorla crashes into Aguero and concedes the foul, earning himself a booking in the proces
KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments