Mkuu wa kitengo cha Habari wa klabu ya Yanga Jerry Muro akiwa na Mkuu wa idara ya sheria wa klabu ya Yanga Frank Chacha. |
Klabu ya Yanga siku ya jana imetangaza rasmi kuwa imefungua kesi dhidi ya aliyekuwa mlinda lango wa klabu hiyo Juma
Kaseja,pamoja na Geilson Santos Santana "Jaja" baada ya kuvunja mkataba na klabu hiyo.
Kaseja,pamoja na Geilson Santos Santana "Jaja" baada ya kuvunja mkataba na klabu hiyo.
Wakili Frank Chacha ambaye ni mkuu wa idara ya sheria wa klabu ya Yanga,amezungumza na jamii na michezo kwa ufafanuzi zaidi.
Msikilize Wakili Frank Chacha ambaye ni mkuu wa idara ya sheria wa klabu ya Yanga akizungumza.
.
0 Comments