Mahakama ya Usuluhishi wa michezo kesho siku ya Alhamisi itatangaza uamuzi wake juu ya rufaa ya Luis
Suarez ya kupinga kupigwa marufuku miezi minne kushiriki shughuli za kandanda .
Suarez, 27,amepigwa marufuku kushiriki shughuli zote za soka kwa kuuma mlinzi wa Italia Giorgio Chiellini kipindi Urugwai iliposhinda 1-0 katika Kombe la Dunia mwezi Juni.
Wanasheria wa Suarez wamesema kuwa, tukio alilolifanya nyota huyo wa zamani wa Liverpool alipokuwa akiichezea nchi yake, angepaswa apigwe marufuku kushiriki soka la kimataifa tu.
ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments