Ross Barkley amekosa mechi za kwanza za msimu baada ya kuendelea kuuguza mguu akiwa mazoezini kabla ya siku ya
ufunguzi wa Ligi Kuu kati ya Everton dhidi ya Leicester City.
Kiungo huyo wa England, ambaye amekuwa na Everton tangu akiwa na umri wa miaka 11, ameumia mguu wake akiwa katika uwanja wa mazoezi Finch Farm siku ya Ijumaa na anaweza kuwa nje kwa wiki sita.
ILI KUWEZA KUPATA TAARIFA MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo) .
0 Comments