Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.Jun. 14,2014 SAA 7:00 USIKU
Uholanzi imeanza vyema michuano ya kombe la dunia baada ya kuibuka na ushindi mkubwa wa mabao 5 kwa 1 dhidi ya mabingwa watetezi wa kombe hilo Uhispania katika
mchezo wao wa kwanza wa kundi B uliopigwa katika uwanja wa Arena Pantanal nchini Brazil.
Spain wao ndio walikuwa wa kwanza kupata bao kwa mkwaju wa penalti iliyopigwa na Xabi Alonso dakika ya 27, baada ya Stefan De Vrij kumchezea rafu Diego Costa ndani ya boksi.
Happy Holland: Louis van Gaal high fives Van Persie after the forward's brilliant equaliser
Na mabao ya Uholanzi yalifungwa na Robin Van Persie ambaye alifunga mabao mawili katika dakika ya 44 na dakika ya 7.Arjen Robben naye alifunga mabao mawili katika dakika ya 53 na dakika ya 80 na mchezaji Stefan de Vrij.
ANGALIA VIDEO YA MABAO
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
Match facts
Spain: Casillas 5, Azpilicueta 6.5, Sergio Ramos 5.5, Pique 5.5, Jordi Alba 7, Alonso 7.5 (Pedro 63), Xavi 7, Busquets 6, Silva 7.5, Diego Costa 7 (Torres 62), Iniesta 7.
Subs: De Gea, Albiol, Javi Martinez, Juanfran, Villa, Fabregas, Mata, Koke, Cazorla, Reina.
Holland: Cillessen 7, Janmaat 6, Vlaar 7.5, De Vrij 7, Martins Indi 6.5, Blind 7, de Guzman 6, Sneijder 6, De Jong 6.5, Van Persie 8, Robben 8.
Subs: Vorm, Verhaegh, Veltman, Kongolo, Kuyt, Clasie, Lens, Fer, Huntelaar, Wijnaldum, Depay, Krul.
Referee: Nicola Rizzoli (Italy)
Attendance:
Man of the match: Robin van Persie
Ratings by JOE CALLAGHAN in Sao Paulo
0 Comments