Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.Jun. 16,2014 SAA 08:05 USIKU
Ilibidi utumike msaada wa sheria ya goal-line technology kuamua utata wa bao la pili la Ufaransa kufuatika kombora alilopiga Karim Benzema katika dakika ya 48,ambapo kipa
wa Honduras Noel Valladares alilazimika kuutoa mpira ambao tayari ulikuwa umesha vuka mstari,lakini kwa kutumia sheria hiyo iliamuliwa kuwa ni goli halali lililofungwa na kipa huyo mwenyewe maana aliugusa kidogo mpira.
Was it in? Karim Benzema starts to celebrate, believing he has made it 2-0 to France against Honduras
Controversial: At first, goal-line technology showed it wasn't at goal, but it was looking at the wrong angle
Add caption |
Desperate: Noel Valladares tries to stop the ball going in, but it went down as an own goal from the goalkeeper
Maboa mawili ya Ufaransa yalifungwa na Karim Benzema,moja katika dakika ya 45 kwa mkwaju wa penalti baada ya Paul Pogba kusukumwa na Wilson Palacios aliyepewa kadi ya njano ya pili na kuwafanya Honduras kumaliza wakiwa pungufu.
Bao lingine Karim Benzema alifunga katika dakika ya 72 ya mchezo.
Thump: Benzema made it 3-0, but not a hat-trick, with a fine effort into the roof of the net
Pride: The big forward was in fine form on Sunday night in Brazil
Patience: Karim Benzema put Les Bleus in front, converting a penalty just before half time
No chance: The goalkeeper is sent the wrong way by the Real Madrid striker
Sloppy: Wilson Palacios was sent off for a second bookable offence after needlessly bringing down Paul Pogba
On-field battle: The duo clashed earlier in the game, resulting in two yellow cards
Petulent: After being stamped on, Pogba lashed out at Palacios, kicking him into the air
MATCH FACTS
France (4-1-2-2-1): Lloris 6; Debuchy 6, Varane 7, Sakho 6, Evra 6; Cabaye 7 (Mavuba 65 6); Pogba 6 (Sissoko 57 6), Matuidi 7; Valbuena 8.5, Griezmann 8; Benzema 7.
Booked: Evra, Pogba, Cabaye.
Honduras (4-4-2): Valladares 4; Beckeles 6, Bernardez 5 (O Chavez 46 6), Figueroa 6, Izaguirre 6; Najar 5 (Claros 58 6), Garrido 6, Palacios 4, Espinoza 6; Bengston 5 (O Garcia 46 6) 6, Costly 5.
Booked: Palacios, O Garcia.
Sent off: Palacios (second yellow).
Referee: S Ricci (Brazil) 6.
Man of the match: Valbuena.
0 Comments