Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.Jun. 16,2014 SAA 11:25 JIONI
Mgombea aliyeenguliwa kwa mara ya pili na kamati ya uchaguzi ya simba mara baada ya kamati ya rufaa ya Tff kumrudisha, Michael Richard Wambura amesema anatambua kuwa kamati ya uchaguzi
ya Simba inamgombea wao ambaye wanamtaka akae madarakani mara baada ya kumuondoa tena katika kinyang'anyiro hiko.
Akizungumza na kipindi cha michezo cha radio Magic Fm, Wambura amesema kuwa anachodhani yeye ni uoga tu wa kamati hiyo,na kuwanyima nafasi wanachama wa Simba kutopata nafasi ya kumchagua kiongozi wanaye mtaka.
MSIKILIZE AKIZUNGUMZA NA MAGIC FM
USISAHAU KULIKE PAGE YA FACEBOOK, BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo)
CHANZO:MAGIC FM
0 Comments