Mhariri:Herman kihwili,IMEWEKWA.May. 29,2014 SAA 11:44 JIONI
Hatimaye mgombea wa nafasi ya urais katika klabu ya Simba ambaye ameenguliwa na kamati ya uchaguzi ya Simba Bwana
Richard Michael Wambura leo amefikisha hati zake za kukata rufaa katika kamati ya rufaa ya Tff kupinga maamuzi ya kamati hiyo.
Richard Michael Wambura leo amefikisha hati zake za kukata rufaa katika kamati ya rufaa ya Tff kupinga maamuzi ya kamati hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasilisha rufaa hiyo,Wambura amesema kuwa ana imani na kamati ya Tff kuwa itatenda haki na yeye kurudi katika kinyanganyiro hicho.
Wambura akisotea rufaa hiyo huku kamati ya uchaguzi ya Simba hii leo imeendelea na usaili kwa wagombea wanaowania nafasi katika uchaguzi huo.
MSIKILIZE
MSIKILIZE
0 Comments