Tamasha la krismas kwa jiji la Dar es salaam limefanyika siku ya jumatano ya tarehe 25 kwa kukutanisha wakazi mbalimbali kutoka
sehemu tofautitofauti.
sehemu tofautitofauti.
Tamasha hilo lilipambwa na wawaimbaji mbalimbali wa nchini na nje akiwemo mchungaji Solly Mahlangu kutoka Afrika ya kusini,na mgeni rasmi katika tamasha hilo alikuwa waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera,uratibu na Bunge.Mh.William Lukuvi.
Bon Mwaitege kama kawaida yake kutawala jukwaa |
Bon Mwaitege akicheza pamoja na wachezaji wake |
Bon Mwaitege akiruka juu |
Mwimbaji wa nyimbo za injili Rose Muhando akiingia uwanjani |
Rose Muhando akiimba kwa hisia |
wachezaji wa Rose Muhando alibidi wavue mashati maana kazi ilikuwa kubwa |
Sarah Mvungi pia alikuwepo akifurahia tamasha la krismas katika uwanja wa taifa |
Mashabiki wakifurahia Tamasha la krismas baada ya kupanda Rose Muhando |
Rose Muhando akionyesha mbwembwe kwa mashabiki |
Upendo Nkone kwa mbaaaaali akifurahia mziki wa Rose Muhando |
Program Manager wa WAPO Radio FM, Aimtonga Laizer,akifurahia mziki |
New Life Band kutoka Arusha walikuwepoa pia |
Mgeni rasmi, Waziri wa Nchi - Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Uratibu na Bunge, Mh. William Lukuvi akisindikizwa na Mkurugenzi wa Kapmuni ya Msama Promotions ndugu Alex Msama. |
Mh. William Lukuvi akizungumza na wanachi waliofika uwanjani |
Mwimbaji Ephraim Sekereti akitumbuiza |
John Lisu akitumbuiza na gitaa lake |
Ephraim Sekereti pia alimtambulisha mkewe |
Waimbaji wa Grolious wakitumbuiza |
Mwimbaji Upendo Kirahiro akiimba jukwaani na kucheza pamoja na Mc |
Ikafika zamu ya Solly Mahlangu kupanda jukwaani |
Alex Msama.akiwa makini kumtazama na kumsikiliza Solly Mahlangu |
Anthony Joseph akiimba na kufurahia mziki |
Gadlod Mg'ang'a(mwenye suti) pia alikuwepo pia katika Tamasha |
Waimbaji wa Living Water wakicheza mziki wa Solly Mahlangu baada ya zamu yao kuisha |
Solly Mahlangu akiagana na mashabiki |
Mwimbaji Edson Mwasabwite akifanya vitu vyake |
Mwimbaji upendo Nkone pia likuwepo katika tamasha |
Solly Mahlangu akiondoka baada ya kumaliza kuimba |
Solly Mahlangu hajawahi kupitisha siku ya Krismasi nje ya taifa lake la Afrika Kusini, lakini hapa Watanzania wamepata fursa ya kutembelewa. |
0 Comments