Mhariri:Herman Kihwili,IMEWEKWA OKTOBA 19,2013 SAA 8:18 USIKU
Marouane
Fellaini anahitaji operesheni juu ya mkono wake aliojeruhiwa lakini anaweza kuchelewesha upasuaji hadi miaka
miwili, kwa mujibu wa bosi
wa Manchester United David Moyes.
Nyota huyo wa
Ubelgiji imekuwa akicheza na kifaa maalum cha kukinga mkono wake aliojeruhiwa wakati wa
mechi ya kimataifa hivi karibuni na Moyes ana nia ya kumuendeleza
kucheza katika klabu ya Mnchester United, hasa baada ya Tom Cleverley kuwa nje kwa majeraha.
"Fellaini anahitaji operesheni," alisema Moyes. "kaumia vibaya kabisa mkono wake, Kuna mfupa kidogo na kano zimejitokeza"
"Tumeambiwa itachukuwa muda pasipo kufanya kazi kwa sasa,Hiyo
inaweza kuwa kwa muda mrefu kama miaka miwili,hatuja kata tamaa lakini
sehemu yake haitakuwa sawa kuchezwa".
Fellaini kuna uwezekano wa kuwepo katika mchezo dhidi ya dhidi ya Southampton hii leo,
lakini mtu mmoja ambaye ni mashaka ni mshambuliaji Robin van Persie.
"Tuna wachezaji wachache ambao tunabisha," aliiambia MUTV. "Mmoja sisi tuna wasiwasi zaidi ni Robin van Persie."
"Yeye alicheza vuzuri na yeye alifika mbali katika mchezo wa pili
(dhidi ya Uturuki) amekuwa na matatizo na vidole vyake pia."
Van Persie alifunga mabao matatu dhidi ya Hungary Ijumaa iliyopita ikamchukua kuwa juu katika chati ya ufungaji ya kimataifa ya Kiholanzi.
"Ni mafanikio ya ajabu," alisema Moyes. "anatakawa kufanya sasa ni kufunga zaidi magoli kwa Uholanzi na kufanya hivyo katika Kombe la Dunia,Lakini
kumekuwa na baadhi ya washambuliaji wa Kiholanzi wenye vipaji zaidi ya miaka na wamekuwa
na safu ya vipaji, Ili kuwa juu ya orodha ni kitu maalum."alimalizia Moyes.

0 Comments